- Naji Ibrahim Arfaj
- Yunus Kanuni Ngenda
- islamhouse.com
- Yasini Twaha Hassani
- 2016
- 15
- 5193
- 2676
- 2029
Ujumbe Mmoja
Ujumbe Mmoja: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.
Baada ya kuumbwa Adam (s.a.w), ujumbe mmoja wamepewa watu karne na karne, kuna umuhimu wa kuwakumbusha watu ujumbe huu na kuwaweka katika njia iliyo nyooka,amewatuma Mwenyezi Mungu mmoja wa kweli Manabii na Mitume kama vile Adam, Nuuh, Ibrahim, Mussa, Issa na Muhammad (s.a.w), ili wafikishe ujumbe mmoja nao ni: (Mungu wa kweli ni mmoja tu muabuduni).
Source: islamhouse.com
: