- islamic-message
- islamhouse.com
- 2012
- 94
- 4526
- 2559
- 1915
Makasisi Waingia Uislamu
KASISI YUSUFU ESTES ALIYEKUWA MFANYABIASHARA WA KIKRISTO & MUHUBIRI (USA )
Makasisi Waingia Uislamu Sasa hivi jina langu ni Yusufu Estes, lakini miaka iliyopita rafiki zangu walikuwa wakiniita Skip. Nimeshahubiri Ukristo na kufanya kazi za burudani na muziki tangu nilipokuwa mdogo katika miaka ya hamsini. Mimi na baba yangu tulianzisha duka la muziki, vipindi vya t.v, redio na burudani za nje ya nyumba kwa ajili ya kujifurahisha na (kujinufaisha). Nilikuwa mchungaji wa upande wa muziki, pia nilikuwa naendesha farasi na kuwaburudisha watoto nikiwa ni (Skippy the Clow).
Source: islamhouse.com
: