- M.A.K.KICH
- islamhouse.com
- 2011
- 78
- 5038
- 3872
- 1797
Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?
Hakuna kinachowaudhi sana Wakristo kama kuitilia shaka imani ya Utatu, chemchemi ya imani yao.
Kwa kukulia katika Ukristo, ninajua kwa hakika kuwa hilo litamuumiza mchamungu wa Kikristo, kwani ni kitu anachokijua kuwa ni cha ukweli.
Source: islamhouse.com
: