- Sheikh Ibn Uthaymeen
- www.firqatunnajia.com
- 2015
- 43
- 5431
- 2583
- 2018
al-Hijaab
al-Hijaab Kitabu hii kinazunguzia hijabu ya muislam sifa zake na hukumu zake Himdi zote ni za Allaah. Tunamhimidi na kumuomba msaada na msamaha. Tunajikinga Kwake kutokana na shari ya nafsi zetu na matendo yetu maovu. Yule mwenye kuongozwa na Allaah, basi hakuna awezae kumpoteza, na yule mwenye kupotezwa na Allaah, basi hakuna awezae kumwongoza. Ninashuhudia ya kwamba hapana mola wa haki isipokuwa Allaah na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni mja na Mtume Wake.
Allaah amswalie yeye, kizazi chake, Maswahabah zake na kila mwenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah.
Source: islamhouse.com
: